Uza Kozi Mtandaoni: Fanya Ujuzi Wako Uwafikie..
Kuna watu wengi wanaotaka kujifunza skills mpya. Kama una ujuzi unaoweza kufundisha, unaweza uza kozi mtandaoni. Kozi inaweza kuwa kuhusu biashara, design, technology, marketing, language, photograph...