Soko la bidhaa za kidijitali linaendelea kukua kadri watu wengi wanavyotumia mtandao kujifunza, kufanya biashara na kupata resources.
Leo, mtu mwenye ujuzi anaweza kuunda eBook, PDF, kozi au template na kuiuza mtandaoni.
Fabilive inalenga kuwa sehemu inayowaunganisha waundaji wa bidhaa za kidijitali na wanunuzi.
Nani anaweza kuuza?
Mwandishi anaweza uza eBook mtandaoni.
Mwalimu anaweza uza kozi mtandaoni.
Designer anaweza uza Canva templates.
Mtaalamu anaweza uza PDF mtandaoni yenye guide, checklist au maarifa maalumu.
Hii inamaanisha kuwa huhitaji kuwa kampuni kubwa ili kuanza. Ubunifu, ujuzi na maudhui yenye thamani vinaweza kuwa mwanzo wa biashara yako.
Fursa kwa Afrika
Waafrika wengi wana maarifa, skills na ubunifu ambao unaweza kufikia watu wengi zaidi kupitia bidhaa za kidijitali.
Fabilive inalenga kusaidia creators kutumia fursa hii na kujenga biashara zao mtandaoni.
Kama una kitu cha kufundisha, kueleza au kutengeneza, unaweza kukigeuza kuwa bidhaa ya kidijitali.